Mwongozo wa Vipindi

Mwongozo wa Vipindi

Alhamisi - 17 Mei
Ijumaa - 18 Mei
Jumamosi - 19 Mei
Jumapili - 20 Mei
Jumatatu - 21 Mei
Jumanne - 22 Mei
Jumatano - 23 Mei
Alhamisi - 24 Mei
Ijumaa - 25 Mei
Jumamosi - 26 Mei
Jumapili - 27 Mei
Jumatatu - 28 Mei
Jumanne - 29 Mei
Jumatano - 30 Mei
Alhamisi - 31 Mei
Ijumaa - 01 Jun
Jumamosi - 02 Jun
Chaneli
160
#
160
00:00
00:30
01:00
01:30
02:00
02:30
03:00
03:30
04:00
04:30
05:00
05:30
06:00
06:30
07:00
07:30
08:00
08:30
09:00
09:30
10:00
10:30
11:00
11:30
12:00
12:30
13:00
13:30
14:00
14:30
15:00
15:30
16:00
16:30
17:00
17:30
18:00
18:30
19:00
19:30
20:00
20:30
21:00
21:30
22:00
22:30
23:00
23:30
00:00

MpyaUchawi Mweusi

00:25

Vita baina ya vikundi na familia za kichawi,wanaume wawili wanaozozana nani amuoe Farhaty.

MpyaNambachi

02:35

Ni binti kutoka kwa famila ya kitajiri anajingiza katika mahusiano na penzi la kijana jangil bila baraka za wazazi kumbe kuna siri kubwa imefichika...

MpyaSifa Mixx

04:00

'S6/E12'. Nyimbo za kiinjili za kumtukuza na kumsifu Mungu.

MpyaSifa Mixx

05:00

'S6/E13'. Nyimbo za kiinjili za kumtukuza na kumsifu Mungu.

MpyaUfunuo

06:00

Wachungaji na wazee wa kanisa wanamtamani mchumba wa Felix, wanamwekea Felix kikwazo asiweze kufunga nae ndoa.

MpyaFamily Detonation

08:25

Wivu unatanda baina ya ndugu wawili inapeleka mmoja wao kwenda kwa mganga ili kaka yake afe, anakufa lakini ukweli unawekwa wazi baada ya vita vya familia hizo kuzidi.

MpyaSifa Mixx

10:00

'S6/E8'. Nyimbo za kiinjili za kumtukuza na kumsifu Mungu.

MpyaMuuza Genge

10:56

Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, lakini pesa ndio mfalme Pupa na papara za maisha hupelekea majonzi na vilio vingi, fuatilia kisa cha muuza genge.

MpyaMuuza Genge

11:54

Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, lakini pesa ndio mfalme , Pupa na papara za maisha hupelekea majonzi na vilio vingi, fuatilia kisa cha muuza...

MpyaDoli Armano Ki

13:00

'S4/E9'. Urmi binti mrembo sana anaolewa na Samrat ndoa yake inakua jaribu kubwa sana kwake kwa sababu ya mume wake je na ukatili wote ndoa yake...

Maelezo zaidi

MpyaDoli Armaanon Ki

14:00

'S4/E10'. Urmi binti mrembo sana anaolewa na Samrat ndoa yake inakua jaribu kubwa sana kwake kwa sababu ya mume wake je na ukatili wote ndoa yake...

Maelezo zaidi

MpyaSifa Mixx

15:00

'S6/E8'. Nyimbo za kiinjili za kumtukuza na kumsifu Mungu.

MpyaMaji Ya Shingo

15:55

Marafiki wawili wanajikuta katika vita kisa tamaa za pesa na mali, yote ni kwa ni kwa sasbabu mmoja wao hakuweza kukaa kimya kuhusu mafanikio yake.

MpyaMaji Ya Shingo

17:18

Marafiki wawili wanajikuta katika vita kisa tamaa za pesa na mali, yote ni kwa ni kwa sababu mmoja wao hakuweza kukaa kimya kuhusu mafanikio yake.

MpyaMwantumu

18:30

'S1/E6'. Kaboba ni kijana mtanashati alipenda sana...

Maelezo zaidi

MpyaYasin

19:00

Yasini kijana anaeipenda sana dini yake, anafiwa na mama yake anapata msamaria mwema na kuishi nae, kasheshe ni pale alivyotokea kumpenda mtoto wa...

MpyaYasin

19:58

Yasini kijana anaeipenda sana dini yake, anafiwa na mama yake anapata msamaria mwema na kuishi nae, kasheshe ni pale alivyotokea kumpenda mtoto wa...

MpyaUchafu Wa Nani

21:05

Kisa binti anayeishi na rafiki zake nyumba mmoja wanapendana sana lakini wanakuja kumbadilikia anapo pata ujauzito.

MpyaUchafu Wa Nani

21:51

Kisa binti anayeishi na rafiki zake nyumba mmoja wanapendana sana lakini wanakuja kumbadilikia anapo pata ujauzito.

MpyaMjerumani

23:00

Baba yake Mjerumani anamuonya kijana wake kuhusu kuzaa watoto wa kike, anaishia kuzaa na kufukuza wanawake wake kila kukicha.

MpyaMjerumani

23:58

Baba yake Mjerumani anamuonya kijana wake kuhusu kuzaa watoto wa kike, anaishia kuzaa na kufukuza wanawake wake kila kukicha.

Habari

Video