Vichekesho vya Asha katika Doli Armano Ki Highlights!

Asha anakutana na mashemeji wake lakini vidokezo vyake ni vya kuvunja mbavu! Huku Samrat anaendelea kuwakera familia yake. Ni kama yuko na njama ambayo haijajitambulisha kwa mama yake. Tazama Doli Armano Ki kila Jumatano na Alhamisi saa 12 jioni!

Kupata habari zaidi, temebelea kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na tovuti yetu: maishamagicbongo.tv

Latest Videos

Bongo Shop

Nunua dekoda yako kwa bei nafuu hapa

Vipindi na tamthilia moto moto

Furahia vipindi moto moto ndani ya DStv

Angalia muda wowote, popote

Download the DStv Now app

DStv Eazy Self Service

Njia rahisi ya kutumia DStv