TV Guide

Chaneli
#
160
20:30
21:00
21:30
22:00
22:30
23:00
23:30
00:00
00:30
01:00
01:30
02:00
02:30
03:00
03:30
04:00
04:30
05:00
05:30
06:00
06:30
07:00
07:30
08:00
08:30
09:00
09:30
10:00
10:30
11:00
11:30
12:00
12:30
13:00
13:30
14:00
14:30
15:00
15:30
16:00
16:30
17:00
17:30
18:00
18:30
19:00
19:30
20:00
20:30
21:00

MpyaMzooka

20:30

'S29/E4'. Mariam Migomba anatoa darasa la maadili katika jamii nzima , zaidi akimlenga mwanamke kama mfano wa kuigwa katika jamii.

Maelezo zaidi

MpyaMashariki Mix

21:30

'S2/E72 - 2/72'. Makala za burudani mbali mbali kutoka kote Afrika Mashariki.

MpyaMwantumu

22:00

Maelezo zaidi

MpyaYasin

22:27

Yasini kijana anaeipenda sana dini yake, anafiwa na mama yake anapata msamaria mwema na kuishi nae, kasheshe ni pale alivyotokea kumpenda mtoto wa...

MpyaYasin

23:25

Yasini kijana anaeipenda sana dini yake, anafiwa na mama yake anapata msamaria mwema na kuishi nae, kasheshe ni pale alivyotokea kumpenda mtoto wa...

MpyaKitimtim

00:31

MpyaMwali Wa Kijiji

01:00

Fahala ni binti mrembo sana kijijni kwao, lakini baba yake hataki kabisa kuona mwanaume yoyote akimkaribia Fahal. Bilali anadhamiria kumtolea posa Fahal

MpyaMzooka

03:00

'S34/E12'. Burudani ya muziki zilizo hit na kupendwa kutoka pande zote duniani.

MpyaMatango Pori

03:55

Matango pori ni jina la wanawake wawili ambao watafanya chochote kila kwa ajili ya mapenzi, tarifa zinawafikia waume zao,wanakamatwa na magonjwa juu.

MpyaMatango Pori

04:50

Matango pori ni jina la wanawake wawili ambao watafanya chochote kila kwa ajili ya mapenzi, tarifa zinawafikia waume zao,wanakamatwa na magonjwa juu.

MpyaKitimtim

06:00

'S4/E6'. Mizozo na malumbanao kati ya Pili na Zunde, baada ya Pili kuachana na Lumole na kurudi kwa...

MpyaUfunuo

06:30

Wachungaji na wazee wa kanisa wanamtamani mchumba wa Felix, wanamwekea Felix kikwazo asiweze kufunga nae ndoa.

MpyaMzooka

09:00

'S28/E13'. Burudani ya muziki zilizo hit na kupendwa kutoka pande zote duniani duniani.

MpyaMwantumu

10:00

'S1/E22'. Kaboba ni kijana mtanashati alipenda sana teknolojia na mabinti. Babu yakeMzee Mrisho...

Maelezo zaidi

MpyaTake Me Back Home

10:30

Baada ya kutofautiana na mpenzi wa binti yake, wakizozana kwa bahati mbaya anauwawa,anapiga simu kuzungumza na mpenzi wake kumbe anampa taarifa za kifo mama yake.

MpyaKitimtim

12:00

'S4/E6'. Mizozo na malumbanao kati ya Pili na Zunde, baada ya Pili kuachana na Lumole na kurudi kwa...

MpyaHuba

12:30

'S3/E31'. Jojo anawasiliana na Dev kwa siri akizungumzia mambo ya Jude na Batuli, Dev anarudi, na...

Kisura

13:00

Sarah ana ingizwa katika biashara ya umalaya na dada yake, anarudi kijijini na kumpendna kijana ambaye anamuahidi kumuoa, kumbe ana virusi vya ukimwi.

MpyaMashariki Mix

14:30

'S2/E92 - 2/92'. Makala za burudani mbali mbali kutoka kote Afrika Mashariki.

MpyaMzooka

15:00

'S34/E13'. Burudani ya muziki zilizo hit na kupendwa kutoka pande zote duniani.

MpyaMwantumu

16:00

'S1/E23'. Kaboba ni kijana mtanashati alipenda sana teknolojia na mabinti. Babu yakeMzee Mrisho...

Maelezo zaidi

MpyaUchafu Wa Nani

16:30

Kisa binti anayeishi na rafiki zake nyumba mmoja wanapendana sana lakini wanakuja kumbadilikia anapo pata ujauzito.

MpyaUchafu Wa Nani

17:17

Kisa binti anayeishi na rafiki zake nyumba mmoja wanapendana sana lakini wanakuja kumbadilikia anapo pata ujauzito.

Blood

18:30

'S1/E9'. Mke wa Tony anakimbizwa hosipitali, madaktari wanasema amepoteza ujauzito wake, hizi...

MpyaOne Man Guitar

19:00

Kimani anapenda sana kuimba na ana kipaji chake kinakua kikwazo sana kwa shangazi yake akiogopa atafata nyayo za baba yake.

Huba

20:00

'S3/E32'. Jojo anawasiliana na Dev kwa siri akizungumzia mambo ya Jude na Batuli, Dev anarudi, na...

MpyaMzooka

20:30

'S29/E5'. Mariam Migomba anatoa darasa la maadili katika jamii nzima , zaidi akimlenga mwanamke kama mfano wa kuigwa katika jamii.

Maelezo zaidi