Huzuni na simanzi katika HUBA!

Katika #HUBATZ wiki hii, ni mambo ya kushangaza! Kifu cha Fili chazua kizaa zaa. Familia na marafiki wake wamehjawa na huzuni. Isitoshe, ni naniatakayeshika usukani? Je, ni Tesa, Kibibi au Tima? Dev analewa chakari na kuleta vurugu kwenye msiba. Clay na Jojo nao jino kwa jino! Jumanne na Jumatano saa 1.30 usiku! #MMBongo ni Yetu!

Kupata habari zaidi, temebelea kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na tovuti yetu: maishamagicbongo.tv

Latest Videos

Bongo Shop

Nunua dekoda yako kwa bei nafuu hapa

Vipindi na tamthilia moto moto

Furahia vipindi moto moto ndani ya DStv

Angalia muda wowote, popote

Download the DStv Now app

DStv Eazy Self Service

Njia rahisi ya kutumia DStv