Logo
Doli Armaanon Ki
channel logo dark

Doli Armaanon Ki

160DramaPG13
Doli Armano Ki

Simulizi kuhusu binti Urmi anayeolewa na bwana Mkatili, Samrat. Shida zinamkumba lakini Urmi anajikaza na kubadilisha maisha yake na ya mwanawe, Shauriya! Katika msimu huu, Shauariya ameugua ugonjwa wa Saratani ya mifupa. Urmi na Ishaan mumewe mpya wataweza kupambana na changamoto hili? 

S7 | E26
17 Machi 15:00
'S7/E26'. Mama yake Ishana anafanikiwa kumfanya Urmi na binti yake kuwa ma adui, Shauria naee anakua msaada mkubwa kwa D...

Doli Armano Ki