Mawaidha ya mama Ishaan

10 Mei 12:45
Options

Baada ya Urmi kukataa posa lake, Ishaan anafujika moyo na kurudi nyumbani. Mama yake ana mengi ya kusema! TAZAMA!