Logo
Doli showpage billboard
channel logo dark

Doli Armaanon Ki

160DramaPG13
Doli Poster

Simulizi kuhusu binti Urmi anayeolewa na bwana Mkatili, Samrat. Shida zinamkumba lakini Urmi anajikaza na kubadilisha maisha yake na ya mwanawe, Shauriya! Katika msimu huu, Shauariya ameugua ugonjwa wa Saratani ya mifupa. Urmi na Ishaan mumewe mpya wataweza kupambana na changamoto hili? 

S6 | E30
16 Decemba 15:00
'S6/E30'. Samrat sasa ni zamu yake kulia na kusaga meno, Urmi na Ishna wamegundua alichokifanya na wameamua kulipiza kis...

Doli Armano Ki