Hii tamthilia inahusu mapenzi, pesa, ubinafsi na uchawi. Pale ulimwengu wa pesa ukikutana na ulimwengu wa ubinafsi, kitu ambacho kinaweza kuwaokoa ni mapenzi.
S12 | E251
19 Machi 12:30
'S12/E251'. Jb anapambana na heka heka za familia yake na wake zake, Tesa kagaeukia wokovu mazima, ndoa ya chidi na Kibi...