Msimu wa kwanza wa Rebeca!

28 Machi 14:10
Options

Ni usiku wa furaha kwa Rebecca, usiku ambao unaelekea kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kumpa zawadi ya usichana wake mwanaume atayemuoa. Siku ya harusi, mambo yanaporomoka na Rebeca anapata kujuta!