Logo
sarafu
channel logo dark

Sarafu

160DramaPG13

Vipindi Moto Moto Sarafu

"Leo naamini unanipenda" — Sarafu

00:03:56
Madam Sandra anaigiza kukasirika. Damian anamkubali dadake na Mzee Sanga anatambulisha Jamila ofisini kama mtoto wake.
"Leo naamini unanipenda" — Sarafu Image : 1137

Video Mpya Moto

Madam Sandra apoteza kila kitu — Sarafu Image : 1141
"Leo naamini unanipenda" — Sarafu Image : 1137
"Leo naamini unanipenda" — SarafuMadam Sandra anaigiza kukasirika. Damian anamkubali dadake na Mzee Sanga anatambulisha Jamila ofisini kama mtoto wake.
"Unikabidhi moyo wako" — Sarafu Image : 1135
"Unikabidhi moyo wako" — SarafuDamian akutana na Tanya, Jamila kazimia, na sherehe ya Mzee Sanga inakatizwa wakati Madam Sandra anawasili.
"Hali ya mama sio nzuri"— Sarafu Image : 1132
"Hali ya mama sio nzuri"— SarafuMadam Sandra bado ako hospitalini lakini anafanya maamuzi kwamba hela zake zihamishwe kutoka kwa akaunti yake hadi kwa ya Jumba. Halafu Jamila anamkashifu Damian vilivyo.
Janet amchapa Brenda — Sarafu Image : 1128
Janet amchapa Brenda — SarafuJanet anakutana na saa ya Tito kwa Brenda, anakula kichapo cha maana. Jumba nae kafanikiwa kutekwa na Bianca. Baada ya Jamila kushuhudia ya Damian, Chaku hambakishi
Madam Sandra akutana na Janeth — Sarafu Image : 1123
Madam Sandra akutana na Janeth — SarafuMzee Sanga na Janet wagundua mali zao zote zipo mikononi mwa Madam Sandra. Jumba nae kafanikiwa kutekwa na Bianca.
Machozi ya Zawadi — Sarafu Image : 1120
Machozi ya Zawadi — SarafuJackie akataa kujiunga na mamake. Zawadi anamwelezea Mzee Sanga kuwa Madam Sandra alimtishia. Damian na kasheshe linazuka katika mgawanyo wa mali za kampuni ya Mzee Sanga
Sandra amtishia Zawadi — Sarafu Image : 1116
Sandra amtishia Zawadi — SarafuNi mazishi ya babake Damien. Sandra anazuiliwa kushiriki katika ibada. Baadaye anatishia Zawadi na kumuambia kwamba ana siku mbili pekee ya kuishi.
Mzee Sanga amerudi — Sarafu Image : 1111
Mzee Sanga amerudi — SarafuJanet amefurahi babake amerudi lakini Madam Sandra ako na wasiwasi. Damian amejawa na huzuni na kuapa kufanya juu chini kuwapata walio husika na kifo cha baba yake.
Mzee Sanga ni mzima?- Sarafu Image : 1104
Mzee Sanga ni mzima?- SarafuDaktari anadai Mzee Sanga ni mzima kabisa, yaanii kwa kifupi anajifanya amepooza
Damian anapambana – Sarafu Image : 1100
Damian anapambana – SarafuNjoroge hatimaye wamefanikiwa kuingia katika hemaya ya Madam Sandra, Damian anapambana na Tito kujua yalio mkuta babake, anayopangiwa na kunenewa Mzee Sanga ni balaa.
Damian ameachiliwa- Sarafu Image : 1096
Damian ameachiliwa- SarafuUsalama wa Mzee Snaga nyumbani kwake una ati ati, Damian ameachiliwa anakuta baba yake ametekwa, Tamari kazama mtegoni, Je Ibra na wenzake wanamipango gani?
Kichwa ama mkia – Sarafu Image : 1092
Kichwa ama mkia – SarafuJe Ni Kichwa ama mkia? majibu haya tutayapata katika tamthilia ya #SARAFUTZ, tamthilia ya kukata na shoka itakayoanaza January 6 saa 1:30 Usiku, kupitia DStv160 pekee
Mwuaji kati yetu katika Sarafu Image : 633
Mwuaji kati yetu katika SarafuMaisha ya Jackie Sanga yako hatarini kutokana na mahusiano ya chuma. Wake wa Eng. Samuel na Eng. Sanaga wamekata shauri kuwatalaka waume wao. Bi Sanga anataka nusu ya mali . Itakuwaje? Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood!
Hatari Gerezani katika Sarafu Image : 1093
Hatari Gerezani katika SarafuEng Sanga anavamiwa gerazani na kuokolewa na Chuma. Mke wake Sanga anapanga njama huku binti zake wakitafuta kunusurika. Maisha matata katika Sarafu! Tembelea tovuti yetu: maishamagicbongo.tv/sarafu Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160
SARAFU: Siri za Janeth na Jackie kalipuka! Season 1 Image : 1094
SARAFU: Siri za Janeth na Jackie kalipuka! Season 1Bi na Bwana Sanga wakitafuta chanzo za uhalifu uliompata mtoto wao, Bi Sanga anatoa habari za mahusiano yao kinaga ubaga kwa baba yao! Eng. Samwell huku akijaribu awezavyo kumbembeleza mke wake amsamehe. Tembelea tovuti yetu: maishamagicbongo.tv kupata video na habari zaidi! Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160 Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
OFFICIAL FIRST EPISODE – Sarafu Image : 892
OFFICIAL FIRST EPISODE – SarafuTazama kipindi cha kwanza cha #MMBSarafu katika chaneli yetu ya Youtube! Endelea kutizama DStv chaneli 160 Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160
Madam Sandra apoteza kila kitu — Sarafu

Tamthilia Zetu on Maisha Magic Bongo