Logo
SlayQueen
Green and Red Christmas Personal Facebook Post

Je unatoka zawadi kama muigizaji gani wa #SlayQueenTZ?

Tukiwakwenye msimu wa siku kuu, watu wengi wanajiandaa kutoa zawadi.

Wachezaji wetu wa #SlayQueenTZ ni wakarimu sana kwenye kutoa zawadi.

Fanya hiki kipima joto kujua ni nani kwenye #SlayQueenTZ unayefanana nae

kutoa zawadi

Masharti na Taratibu
channel logo dark

Slay Queen

160Tamthilia16

muhula

8

7

6

1

KUHUSU KIPINDI

KUHUSU KIPINDI

Familia ya Mzee Kasongo yaendelea kuwa kwenye kipindi kigumu kwaajili ya msiba uliyo wakumba. Kampuni ya Far Connect iko kwenye mashaka baada ya migogoro  kwenye familia. Julieth na Evelyn sio marafiki tena na unyama ndani yao unazidi kuendelea wakati Mzee Kasongo anazidiwa nguvu, akiwekwakatikati yao. Derick anajiandaa kuoa,lakini Mamy anazidi kumchanganya akili. Boy Muddy ana mahusiano mapya,ilakazi yake iko kwenye hatari. Penzi la Joyce na Dickson linazidi kukolea.

S8 | E13
02 Januari 14:00
'S8/E13'. Evelyne na Derick wanapambania haki yao, wanamfurahisha Kasongo, fundi anagundua ukweli kuhusu mimba ya mke wa...