Kuhusu Kipindi

Urmi ni binti mrembo anayeolewa na Samrat. Ndoa yake inakuwa jaribio kubwa sana kwake kwa sababu ya ukatili wa mume wake. Je ndoa yake itadumu?

Soma Zaidi
Kipindi Kijayo

Yajayo

S2 | E102 27 Oktoba 11:00

'S2/E102'. Urmi binti mrembo sana anaolewa na Samrat ndoa yake inakua jaribu kubwa sana kwake kwa sababu ya mume wake je na ukatili wote ndoa yake itadumu?