Harusi Yetu

Kipindi cha harusi kutoka Tanzania kinachoshuhudia, hatua kwa hatua safari ya maandalizi ya harusi kuanzia Kitchen Party, Send off na Sherehe za harusi rasmi! Kila Alhamisi saa 1 usiku hapa #MMBongo!

Soma Zaidi
Kipindi Kijayo

Yajayo

S3 | E1 19 Julai 18:00

'S3/E1'. Kipindi cha harusi kutoka Tanzania, shuhudia safari za wapenzi hawa kuanzia Kitchen parti, Sendoff na Harusi yenyewe.