Kuhusu Kipindi

Dev anachukua likizo ya ghafla na kusafiri. Inakuwa ngumu kuchagua bosi mpya Doris anamtembelea Tima jela. Anamsaidia na kumbukumbu zake.

Soma Zaidi
Kipindi Kijayo

Yajayo

S3 | E9 20 Juni 20:00

'S3/E9'. Batuli roho inamuuma Tesa na Kibibi hawampi kupumua, Tima anamua lazima atoke jela, itawezakana?