Kuhusu Kipindi

Tamthilia inayo onyehsa maisha ya kila siku ya Mtanzania ikizunguka nyanja zote za Maisha ya kila siku. Ikitawalwa na Mapenzi na usaliti, na katika yote haya mapenzi pekee ndio suluhu kati yao. Kapuni Jumatatu na Jumanne saa 1.30 usiku.

Soma Zaidi
Kipindi Kijayo

Yajayo

S1 | E1 08 Januari 18:30

'S1/E1'. Koku anatamani umbea kutoka kwa Alice ili kumkomoa Joyce, ukimya na ukali wa Mr Brown wavuruga amani, Racheal anakosa furaha.