Kuhusu Kipindi

Marafiki wawili Mzee Sanga na Mzee Samwel, wanajikuta katika msitu wa misukosuko ya kibiashara na tamaa za pesa, kila mmoja akijaribu kumteketeza mwenzake. wanatengeneza mfumo wa mahusiano unaokua silaha ya hatari sana kati ya familia zao.

Soma Zaidi
Kipindi Kijayo

Yajayo

S1 | E1 10 Januari 18:30

'S1/E1'. Eng Sanga na Eng Samwel wanatapatapa kwa sababu ya mauaji ya Gamba, Janeth afumaniwa, Jacky nae amjia juu mama yake mzazi.

VIPUSA WETU HAPA MAISHA MAGIC BONGO

Dada yupi kati ya Jackie Sanga (#MMBSarafu), Mrs. Brown (#MMBKapuni) na Urmi (#DoliTZ) anayefaa kuwa mpenzi wako siku ya Valentines?

Jackie Sanga - #MMSarafu
11%
Mrs. Brown - #MMBKapuni
4%
Urmi - #DOLITZ
84%