Logo

Asanteni Mashabiki wa Maisha Magic Bongo!

Habari
12 Decemba 2017
Shukrani zetu zinakwenda kwa mashabiki wetu hapa #MMBongo kwa kuungana nasi mwaka huu wa 2017 katika mitandao ya Social Media!
Doli Armano Ki Showpage 1600 x 640

Watazamaji wetu wanapenda sana kuwasilisha ujumbe na maoni yao katika mitandao ya social media na tunashukuru sana kwa ujumbe wenu!  Je, ni vipindi vipi vinavyoleta uhondo na mjadala? Tazama maoni yenu!

 

 

 

 

 

Tunaendelea kueneza selection ya vipindi vyetu hapa Maisha Magic Bongo! Mwaka ujao, kuanzia Januari 8, tutawaletea tamthilia mpya ya Kapuni! 

Tamthilia ya Sarafu pia iko njiani ikielekea televisheni zenu katika Mwezi wa Januari. filamu mpya na vipindi vya muziki kila siku hapa MMBongo! USIBANDUKE!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram.