Logo

filamu za mwisho wa mwezi wa Aprili!

Habari
24 Aprili 2018
Hizi ndizo filamu za mchana wiki hii hapa MMBongo! Soma zaidi hapa!
<p>Screen Shot 2018-04-24 at 10.36.14</p>

Filamu za wiki hii zinagusia  mada ya uhifadhi wa watoto, mapenzi, uganga na mengineo! Nisamehe Mwanangu ni filamu ya kwanza wiki hii, simulizi yakuvunja moyo kuhusu mtoto anayeishi na mama anayemtesa. Mtoto anamtafuta baba yake kwa masikitko mengi. Nisamehe Mwanangu itakuwa hewani Jumanne, saa 8 mchana.

Jumatano saa 8 mchana ni simulizi ya Watoto Watatu walio na vipaji vya kipekee! Wanatafuta makazi katika jiji. Ungana nasi!

Filamu Zuzu ni hadithi ya jirani aliyekorogewa na mke wa jirani wake! Huyu mwanuaume maskini anampenda mke wa jirani, mpaka anamkunia nazi! Itakuwaje?! Usikose Zuzu Alhamisi, saa 8 mchana hapa MMBongo!