Logo
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Maoni ya mashabik wa MMBongo!

Habari
12 Februari 2018
Mashabik wa #MMBongo wanatilia maanani vipindi wanavyopenda. Tazama maoni yao katika mitandao ya kijamii hapa!
Poll-Question-SocialMMB_Poll-Question_Instagram-Posts-1080-x-1080

Tunalenga macho leo katika kipiengele cha tamthilia na Muziki hapa Afrika Mashariki, na haswa, katika chaneli yetu, Maisha Magic Bongo! Mashabik wa tamthilia za MMBongo wametembea hatua kwa hatua nasi, na tungependa kutazama maoni yenu! Mashabik walingoja vipindi vya #MMBKapuni na #MMBSarafu kwa hamu na kwa kweli, mumezipokea vizuri! Wacha tutazame maoni yenu!

Tamthilia inayovuma zaidi katika Maisha Magic Bongo ni Doli Armano Ki! Tazama comment zenu katika mitandao! Changamoto za Binti Urmi katika mikono mwa Mume wake Samrat vimefanya awe kipenzi cha watazamaji!

Filamu za MMBongo mwezi huu wa mapenzi ni moto moto, tukiletewa suvi za kikwetu! Wiki hifi, mamboni mapenzi pekee! Usikose vipindi vyetu na musiki wa Bongo patika kipindi cha #MZOOKATZ

Tunawatakia wiki yenye utulivu, furaha na faraja!