Logo

Mwisho wa msimu wa pili wa HUBA!

Habari
11 Decemba 2017
Kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho na Tamthilia yetu pendwa tena moto moto ya HUBA kwa sasa imefika kikomo!
HUBA cover image

Kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho na Tamthilia yetu pendwa tena moto moto ya HUBA kwa sasa imefika kikomo! msimu huu wa pili! Watazamaji wetu wamepata kushuhdia simulizi na matukio ya kusisimua kuhusu familia mbili zilizozozana kwa muda mrefu. Tima akikata shauri kumaliza ndoa yake na Dev, Batuli amerudi kuwatenganisha.

Chuki wivu na ugomvi, yote yanayoletwa na tamaa za pesa! Usikose vipindi vya mwisho wa muhula huu wa pili, Jumanne na Jumatano hii saa 1.30 usiku kupitia DStv chaneli 160!

HUBA itarudi tena hivi karibuni mwaka 2018!

Kwa niaba ya Maisha Magic Bongo na wana HUBA wote , tunawatakia kheri ya sikuku ya Krismasi na Mwaka mpya wenye faraja!